Jumatatu, Julai 14, 2014

YEMI ALADE KUDONGOKA BONGO

Nigeria ni kati ya nchi za Afrika Magharibi ambazo zinafanya vizuri katika tasnia ya muziki barani Afrika, sasa ishu kubwa ni kwamba manadada Yemi Alade wa Nigeria anadondoka Bongo kwa mara ya kwanza kuungana na listi ndefu ya wasanii wa nyumbani kulipamba Tamasha la Usiku wa Matumaini, Agosti 8, mwaka huu (Nanenane).

0 comments:

Chapisha Maoni