Jumatano, Julai 16, 2014

TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu.
Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

0 comments:

Chapisha Maoni