Jumamosi, Julai 12, 2014

PENNY ACHUMBIWA

Baada ya vuta nikuvute ya penzi la Diamond Platnaumz ambaye sasa anabanjuka na madamme Wema Sepetu hatimaye Mtangazaji wa kipindi cha Genge cha EFM Radio, Penniel Mwingilwa 'VJ Penny' amepost kwenye Instagram picha inayoonesha mkono wake wa kushoto ukiwa juu ya usukani wa gari ambao una pete katika kidole cha chanda.

Mdogo hicho nini kwenye kidolee?? Kabla sijaanza kurukaruka kwa furaha
amehoji mmoja wa followers wake. 
Hv kumbe ni kweli @vjpenny04 ume engage? Kuna sehemu nilickia, basi sawa hongera zako mpe hi @halimakimwana1
ameandika mwingine.
Mungu awaondoshee hasad za waja wenye chuki za roho,ameenRabilaallamin @vjpenny94@halimakimwana1, na Kama ukweli uko engaged mwanangu mie furaha tele hapa nasubiri invitation card yangu ya mr&mrs na tutakuja all the way from Uk kwa jinsi nilivyo na hamu nayolove u all wanawake wenye msimamo
amechangia mwingine.

Katika maelezo ya picha hiyo, Penny amesema; 
Road trip…site here we come… Cc @halimakimwana1.

0 comments:

Chapisha Maoni