Adam Lallana amekamilisha usajili wake kutoka Southampton kwenda
Liverpool kwa kitita cha pauni milioni 25. Lallana amekamilisha vipimo
vya afya na ataungana na Rickie Lambart aliyetokea Southampton. Kiungo
huyo ambaye pia alikuwa katika kikosi cha England kilichocheza Kombe la
Dunia, ameichezea Southampton mara 265.
0 comments:
Chapisha Maoni