Forbes mtandao unaoaminika kwa kutoa list mbalimbali za uhakika hivi
sasa wametoa list ya most powerful celebrities pamoja na pesa
walizoingiza tangu June 2013 hadi June 2014.
Beyonce amefanikiwa kunaa namba moja akimuacha mume wake nafasi tano
nyuma ambaye yupo namba 6. Top 10 ina watu maarufu kama LeBron
James,Oprah,Rihanna,Jay Z,Katy Perry na wengine,
Hii ndiyo list ya top 10 na pesa walizoingiza kwa muda wa miezi 12
1) Beyonce: $115million
2)LeBron James – $72million
3)Dr. Dre – $620million
4)Oprah Winfrey- $82million
5) Ellen DeGeneres – $70million
6)Jay Z – $60million
7)Floyd Mayweather- $105million
8)Rihanna – $48million
9)Katy Perry- $40million
10)Robert Downey Jnr – $75million.
Note : Hii ni list ya most powerful celebrities na sio most richest celebrities.
0 comments:
Chapisha Maoni