Baada ya seke seke la BET sasa Diamond Platnumz amechaguliwa tena kuwa nominated katika tuzo za za Afrimma awards ( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS), barani Africa, zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july, na time hii pia amefanikiwa kuwa nominated tena katika category 5.- Best male east afrika
- Song of the year(number1).
- Video of the year (number 1)
- Best collabo (nymber1 rmx)ft davido
- And Best afrikan artist of the year
Sasa kazi kwetu watanzania kumpa support Diamond kwa kuvote kupitia link hii http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/ Kisha vote kwenye kila category aliyopo.



0 comments:
Chapisha Maoni