Zimetimia siku 40 tangu alipofiriki muongozaji wa filamu na vipindi vya runinga, Gerge Tyson Otieno aliyefariki kwa ajali ya gari, May 31.
Wengi tutaendelea kumkumbuka kupitia kazi mbalimbali zenye kiwango kizuri alizozifanya pamoja na kuwa mmoja kati ya waasisi wa filamu za Kiswahili Tanzania.
Muigizaji wa kike, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ambaye ni mkewe aliyezaa nae mtoto wa kike amemuandikia ujumbe kupitia Instagram, kuhusu kile kilicho moyoni mwake.

George,40 days toka ulipoondoka..mengi yametokea mmh!I wish ungefumbua macho dakika tu uone..unakumbuka ile story ulinihadithia ulitaka kuiandika tuifanye muvi ukaipa jina la 'When I come back'yaani kama ulijitabiria..mwanzoni nilikuwa nadhani ni sinema unatuchezea lakini nimeamini You are no longer with us. Bt ur Angel is smiling now,wala usiwe na hofu we know upo kwenye mikono salama.Tunakuombea.na maisha yetu yanaendelea najua hicho ndicho kitu ungependa kukiona kwetu ingawaje juzi tuliitwa na @tv1tanzania nilipofika pale nikashindwa kujizuia.Tutakukumbuka daima @jojityson
0 comments:
Chapisha Maoni