Rapper wa kike kutoka kundi la Cash Money Nick Minaj juzi kati katika
moja ya interview aliyofanyiwa baada ya kualikwa kupafomu kwenye event
ya ‘Summer Jam’ jijini Las Vegas ambayo iliwakutanisha wasanii kama
Drake, Lil Wayne pamoja na Nick Minaj na Rihanna, Baby walikuepo kama
observer, so Nick aliulizwa swali juu ya maisha yake ya upendo ndipo
mwanadada huyo akasema
One day I will run away with Drake and get married, but right now it’s just a fantasy.
0 comments:
Chapisha Maoni