Jumatatu, Juni 30, 2014

MPYA KUTOKA KWA MKUDE-SIMBA, HAPA UTAMSIKILIZA 'MWAKILA' MTOTO WA MKUDE-SIMBA

Ukiongelea suala la vichekesho nchini Tanzania na usipomtaja Mkude Simba (Kitale) basi bado hujataja vichekesho vyote Tanzania, Kitale na sanaa yake mpya ya Mkude Simba anafanya vizuri sana mitaani kipindi hiki. Sasa leo nakuletea mpya kutoka kwa Mkude Simba lakini hapa utamsikia mtoto wake 'Mwakila' akifanya vituko vya kufa mtu!!! Ni kuhusu dawa ya mbu ya asili toka kijijini kwa mkude simba Morogoro..

0 comments:

Chapisha Maoni