Pamoja na kwamba mchizi wetu mmbagala Diamond platnumz kakosa tuzo katika BET 2014, lakini bado anayo haki ya kujivunia kwa vitu vigi kutoka States, hapa namnukuu akiongelea kati ya vitu alivyopata na anavyovivunia:
Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi... kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi kupambana zaidi, kesho na keshokutwa Tasnia yetu nasi ifike kwenye kilele....! das me and my Boy Nelly at the @betawards red carpet... Wenyewe wa uswazi tunamuitaga "Nelly I love you" Mzee wa Plasta๐ ๐ ๐ ... Cc @bet_intl
0 comments:
Chapisha Maoni