Jumapili, Juni 29, 2014

GOOGLE NA HP WAUNGANA NA KUTENGENEZA LAPTOP ZA KISASA ZAIDI, NI HATARI

Kampuni ya Google imekuwa ikikuwa siku hadi siku kutokana na kuzidi kupanua Wigo wake wa kibiashara Duniani kwa sasa Google imeamua Kutengeneza Laptop ili kuzidi Kuimarisha ushindani wa Kibiashara Duniani, Laptop Hizo zimepewa jina la The HP Chromebook 11. Kampuni ya Google ikishirikiana Hp imetangaza rasmi kuwa Laptop hizi zitakuwa zikipatikana kwa Bei ya Dola 279 {$279} za kimarekani.

0 comments:

Chapisha Maoni