Jumapili, Juni 29, 2014

BIZ MAN NA STEVE R&B WAMTEMBELEA RAMA DEE NYUMBANI KWAKE AUSTRALIA

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania mkali wa R&B Steve r&b na Biz Man mzee wa AMETOROSHWA  jana walimtembelea mwanamuziki mwenzao wa muziki toka Tanzania Rama Dee nyumbani kwake nchini Australia, si kwamba Rama Dee amepatwa na matatizo ama vinginevyo, hapana ni upendo tu! Maana watanzania wote ni ndugu na twatakiwa kudumisha upendo huu na kuongeza ushirikiano katika kazi na maisha kwa ujumla.
Akiongelea ugeni wake Rama Dee amesema:
Jana nilitembelewa na SteveRnB na big bro BIZ MAN hapa australia nilisikia furaha sana amani kwenu ndugu Karibuni tena mkipata nafasi….

0 comments:

Chapisha Maoni