Katika wasanii ambao pengine ukipata nafasi ya kukaa nao kwa karibu
unaweza kujikuta toka mwanzo wa maongezi hadi mwisho unacheka tu ni
pamoja na Baba Levo,ingawa hua anaonekana mjanja mjanja sasa hapa
kaingizwa mjini na mtu aliyesema kampa Laptop yake kisha kakimbia nayo.
Alipoulizwa kuhusu kuibiwa Laptop yake kasemani kweli
na alichokiamua baada ya kutoka kuripoti polisi anaenda kumsubiri jamaa
kwa mke wake mpaka atakaporejea na Laptop yake.
0 comments:
Chapisha Maoni