Jumamosi, Mei 03, 2014

UKURASA WA MBELE NA NYUMA WA GAZETI LA MICHEO 'CHAMPION' LEO

Wewe ni mpenzi wa habari za mkichezo? si vibaya iwapo nitakupatia vichwa vya habari kubwa za michezo leo zilizoandikwa katika gazeti la habari na michezo nchini Tanzania, gazeti la Champion lililotoka leo, katika kurasa zake, ukurasa wa mbele na nyuma na iwapo utaitaka habari hiyo kwa undani basi tafuta nakala ya gazeti lako mapema tayari lipo mtaani, zisome mwenyewe kurasa hizi...

0 comments:

Chapisha Maoni