Ijumaa, Mei 30, 2014

NYOTA NDOGO AFANYIWA KITU MBAYA, NI ZAIDI YA UMAFIA

Msanii maarufu wa Kenya, Nyota Ndogo amejikuta akimwaga machozi kutokana na aibu aliyoipata baada ya kundi kubwa la watu kumshuhudia akiwa uchi wa mnyama huku akijipaka mafuta pasi yeye kujua.....Nyota Ndogo alikumbwa na dhahama hiyo alipokuwa aki-perform katika show moja nchini Kenya hivi karibuni. Aidha, Nyota Ndogo aliutumia pia ukurasa huo kuwasihi watu hao wasitoe picha zake za uchi au video kama walirekodi ili kumtunzia heshima mbele ya watoto wake. Soma hapa alichokiandika katika ukurasa wake wa facebook>>>

0 comments:

Chapisha Maoni