Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro
Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro
Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu
nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari
huko Morogoro.
Taarifa hizi ambazo
zimethibitishwa na watu wa karibu yake zinasema kuwa, mauti haya
yamemfika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka
walipokuwa wameenda kwa ajili ya kipindi cha The mboni show ambacho
yeye alikuwa ndiye muongozaji mkuu.
0 comments:
Chapisha Maoni