Mwanaume mmoja amemuumiza vibaya mke wake baada ya kumtuhumu kumkuta na kondomu zilizotumika mfukoni mwake.
Marshal Mazangon(26) alitokea mbele ya hakimu wa mahakama ya
Zvishanane Sengster Tawengwa kwa kosa la kumjeruhi mke wake Nomcelo
Nkululeko (26) ambapo alikana makosa hayo.
Ilikuwa kesi ya jamhuri ya May 12 mnamo saa kumi na mbili asubuhi,
wawili hao alikuwa wakirumbana baada ya Nkululeko kukuta kondom kukuta
kondom hizo mfukoni mwa mumewe na kumtuhumu kuwa ni Malaya.Nilisema kuwa nilipekuwa mifuko yake na nikakuta kondou zilizotumika
na nikaamua niachane na uhusiano nae kwa kumuomba aondoke nyumbani
kwangu; hapo ndiyo akaanza kunipiga
alisema Nkululeko katika maelezo
yake
Mazango alimtandika Ngumi kali Nkululeko usoni na kifuani mara kadhaa akikusudia kumuumiza vibaya.
Nkululeko alizimia na alikimbizwa hospitali na majirani ambao
walisikia mwanamke huyo akipiga yowe kabla ya Mazango kukimbia eneo la
tukio.
Katika utetezi wake, Mazango alisema kuwa walikuwa wakipigana na
inasikitisha kwamba Nkululeko aliamua kuwa wa kwanza kuripoti tukio hilo
polisi. Mahakama aliamuru uchunguzi wa kina wa kitabibu juu ya afya ya
Nkululeko.
Mazango alinyimwa dhamana na mpaka sasa yupo kitunduni (rumande) mpaka hapo kesho atakaporudi tena mahakamani.
0 comments:
Chapisha Maoni