Arsene Wenger amekubali mkataba wa miaka mitatu kuendelea kusalia Arsenal hadi mwaka 2017.
Mkataba huo utatiwa saini na kutangazwa pengine Jumamosi.
Wenger ameiongoza Arsenal kunyakua makombe manane makubwa tangu alipojiunga na klabu hiyo ya London Septemba 1996.
Msimu huu ameweza kufuzu kucheza klabu bingwa Ulaya kwa mara ya 17 mfululizo na pia kumaliza ukame wa miaka tisa wa kombe lolote, baada ya kuchukua Kombe la FA.

0 comments:
Chapisha Maoni