MTOTO wa msanii wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ ametajwa kuwa
ndiyo sababu kubwa ya kurejesha ndoa iliyovunjika ya msanii huyo na
aliyekuwa mkewe iliyovunjika miezi michache iliyopita.
Akizungumza na mwandishi wetu, msanii huyo alisema kuwa kipindi chote
wakati ameachana na mkewe alikuwa akimkumbuka sana mwanaye ambaye
alikuwa akiishi na mama yake, Halima.
Wakati nimetengana na mke wangu kitu kikubwa nilichokuwa nikikimisi kilikuwa ni uwepo wa mwanangu, nashukuru Mungu kwa sasa nimerudiana naye
alisema Bob Juniour.
0 comments:
Chapisha Maoni