MKALI wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amesema sababu kubwa
iliyomfanya azae nje ya ndoa ni maandalizi mazuri aliyojipangia.
Odama ambaye amejifungua hivi karibuni, alisema aliamua kuzaa kwanza kisha ndoa ifuate hivyo hajutii uamuzi wake.
Nimezaa kwa sababu nilijipanga, kuhusu kuolewa ni majaaliwa awe ni huyuhuyu niliyezaa naye au mwingine
alisema Odama huku akigoma kumtaja
baba mtoto.
0 comments:
Chapisha Maoni