Jumatatu, Mei 05, 2014

ARSENAL YAJIHAKIKISHIA NAFASI YA NNE, KWA WENGER NI KAMA KUNYAKUA KOMBE!

Arsenal wamefuzu Champions League kwa mara ya 17 mfululizo. Ni mafanikio ambayo timu nyingi hazijaweza kuyafikia(kushiriki mara 17 mfululizo).
Na wadau wengi wanadai kwamba falsafa ya Wenger kuchukulia kumaliza nafasi ya 4 kama kunyakua Kombe ndio sababu hasa ya klabu hiyo kuridhika na mafanikio hayo ya kumaliza ikiwa ya 4 bila kunayakua kombe lolote.
 Unadhani Wenger hua hafanyi jitihada zinazotakiwa kutwaa kombe lolote kwa kua hufurahia hata kumaliza nafasi za juu bila kombe husika akichukulia kama mafanikio?

0 comments:

Chapisha Maoni