KIMWANA Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’ amesema
kuwa anapenda watoto hivyo yupo radhi kuzaa watoto wengi kupita maelezo
hata kijiji kizima.
Sajent alifunguka hayo baada ya kuulizwa na safu hii kama ana mpango
wa kuzaa tena tofauti na mtoto aliyezaa na Prezidaa wa Mashujaa Music
Band, Charles Baba ‘Chaz Baba’.
Nitazaa hata kijiji kizima, mwenzenu nawapenda sana watoto, hivyo Mungu akinijalia nitazaa wengi
alisema Sajent.
0 comments:
Chapisha Maoni