Aliyekua Kocha wa Tottenham na Chelsea, Andre Villas-Boas ameridhia
kuingia mkataba wa miaka miwili na klabu ya Zenit St Petersburg, taarifa
za klabu hiyo ya Urusi zimeeleza. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 36, aliyetimuliwa na Spurs mwezi Desemba atachukua nafasi ya Luciano Spalletti.
0 comments:
Chapisha Maoni