Mamlaka ya chakula na dawa TFDA kanda ya
kaskazini imetekeza shehena ya mikate katika kiwanda cha mikate cha
Manyara loaf jijini Arusha baada ya kugundua mikate hiyo inatengezwa
chini ya kiwango na katika mazingira machafu hali inayohatarisha afya
ya mlaji huku ikimtafuta mmiliki wa kiwanda hicho aliyekimbia muda mfupi
baada ya wakaguzi kufika kiwandani hapo.
0 comments:
Chapisha Maoni