Mimi ni binti bikira kabisa na nasoma form three lakini nimepata
boyfriend hapa nampenda sana lakini najikuta sifanyi vizuri darasani kwa
ajili yake, kila mda namuwaza yeye, yani hata mitihani nafeli kwa ajili
yake naona bora niache shule ili nikaishi na mpenzi wangu kwani
nampenda sana kwasababu ni handsome na ana pesa sana, naomba ushauri
wenu wafans wa page hii ila msinitukane.
0 comments:
Chapisha Maoni