Sean "Diddy" Combs ametangaza kubadili jina na kulirudia jina lake la
zamani, jina ambalo alilitumia kwa miaka mingi katika muziki, PUFF
DADDY. Diddy ametangaza uamuzi wa kulirudia jina lake la zamani wakati
anatangaza mpango wa kuachia Solo album yake ya "MMM". Hivi karibuni
Puff Daddy ameachia kipande cha Upcoming music video ya "Big Homie"
track ambayo iitaachiwa hivi karibuni.
0 comments:
Chapisha Maoni