MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM katika Wilaya ya Bagamoyo, Ridhiwani Kikwete, ameibuka kidedea katika kura za maoni kuwania kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Chalinze.
Ridhiwani alishinda katika uchaguzi wa kura za maoni kumpata mgombea wa CCM katika uchaguzi huo uliofanyika jana katika jimbo hilo.




0 comments:
Chapisha Maoni