Ijumaa, Machi 14, 2014

MUME AFURAHIA MKEWE AKIFIFANYA MAPENZI NA WANAUME WENGINE

Mwanamke mmoja huko Uingereza ametoa kali ya mwaka eti mumewe anapenda sana akifanya mapenzi na watu wengine halafu aje yeye baadaye anajisikia raha sana akijua nimetoka kufanya mapenzi na mwanaume mwingine,’ amesema dada huyo
Anasema eti mumewe kujisikia hamu maradufu endapo atagundua kwamba mke wake alilala mwanaume mwingine tofauti naye.
“mapenzi na mume wangu yamefikia ya kuchanganyikiwa katika kipimo cha juu kabisa baada ya kuanza kulala na wanaume wengine,’ alisisitiza dada huy
o kwenye gazeti la Kila siku la the Sun nchini Uingereza.
Dada huyo amesema marafiki zake wamesema ni makosa na wanataka aache mara moja kwa sababu ni makosa makubwa sana kwenye ndoa.
Nina miaka 26 na mume wangu ana miaka 28. Tumekuwa pamoja kwenye ndoa miaka mitani na penzi letu limepata misukosuko, lakini mume wangu anajisikia hamu sana na mzuka endapo tu atagundua nina mahusiano na mwanaume mwingine akija huwa ana fanya vizuri zaidi kwenye tendo la ndoa,” amesisitiza

0 comments:

Chapisha Maoni