Alhamisi, Machi 20, 2014

MH. RAIS AJIKOJOLEA WAKATI AKIHUTUBIA MBELE YA UMATI...HABARI NA VIDEO YA TUKIO VIKO HAPA


Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos amezindua kampeni ya uchaguzi wa Urais kwenye jiji la Barranquilla, lakini wak
ati akihutubia, janga likamtokea.Rais huyo alikuwa akihutubia kwa mzuka kabla ya kujikojolea hadharani na kila mtu akiona japo hakusitisha hotuba hiyo. Video yake imekuwa maarufu tayari mtandaoni. Hata hivyo Rais huyo amekanusha kuwa na matatizo ya kiafya. Ametumia mtandao wa Twitter kuwashakuru wananchi wa Colombia kwa kumuelewa licha ya aibu hiyo.
Rais huyo mwenye miaka 62 aliwahi kufanyiwa upasuaji kutokana na saratani korodani (prostate cancer). 

0 comments:

Chapisha Maoni