Agnes Jerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hakuna kitu anakizimikia kwenye mwili wake kama makalio.
asogange aliiambia Bongowood kuwa:“Hakuna sehemu ninayoipenda kama
makalio, yamekaa vizuri, nayapenda, najidai kupitia sehemu hiyo
niliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu.”
0 comments:
Chapisha Maoni