Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa habari za mitandaoni au mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii hasa Facebook najua jina la Neema Paul Malipo si geni machoni au masikioni kwako kutokana na kuandikwa sana katika blogs mbali zikimtuhumu kwa kupiga picha za utupu na kuziweka mtandaoni kama ishara ya kutangaza soko la mwili wake.
Sasa baada ya kukosa points za kutosha ili kutetea heshma yake ameamua kuwatukana mablogger waliomuumbua kwa kuanddika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa facebook kama ninavyomnukuu hapa: "Andikeni sana kwenye blogs zenu hizo za kithengeee, tena
nitawaongezeni picha zingine ili mupost na kuandika vizuri kwny blogs
zenu hizo za kishoga, after all sichubuki wala hakuna ninachopoteza,
bali mnaniongezea marafiki tu tz mpk abroad,
Hunijui hata robo,
hata ukiandika najiuza sishangai maana siishi wala sivai mtakavyo nyie
mbwaaa, bali naishi na kuvaa nipendavyo na niwezavyoo mimi. Hunivishi,
hunilishi, Hivyo download picha muwezavyo mkajaze kwny blogs zenu hizo
za kishoga ili mpate fanz mkichoka mfunge mabakuli yenu na mkatawaze,
kaeni na ushamba wenu wa kuchunguza, kufuatilia neema kavaaje, neema
kapost picha gan, nimuandikaje neema ili blog yng ipate watu
wakuitembelea,Hello friends, follow me on #whatsapp kiroho safi, 0715-824 216" Akamalizia kwa kujitangaza zaidi ili iwe rahisi kufikiwa na wateja wake.
0 comments:
Chapisha Maoni