Jumanne, Machi 25, 2014

HAWA NDIO WALIOTEULIWA KUSHINDANIA TUZO KATIKA WIMBO BORA WA HIP HOP KTMA

Baraza la Sanaa BASATA leo limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi wa vipengele 34 vya Tuzo za muziki Tanzania.
Katika wimbo bora wa HipHop hawa ndio walioteuliwa kuwania hiyo nafasi.

Bei ya mkaa-Weusi
Nje ya box-Nick wa pili ft Joh Makini na G Nako
Siri ya mchezo-Fid Q ft Nature
2030-Roma
Pesa-Mr Blue ft Becka Title

0 comments:

Chapisha Maoni