Jumanne, Machi 25, 2014

CHRISTIANO RONALDO ATOA YA MOYONI KUHUSU REFALII ALIYECHEZESHA MECHI YA MWISHO YA MADRID NA BARCA

"Tumecheza dhidi ya watu 12. Kila siku haya hujirudia. Haturuhusiwi. Labda walitaka Barca warudi kua washindani kwenye Ligi,” alisema.
“Sitaki kuacha haya moyoni na wala sitafuti sababu, lakini nadhani refarii hakua na vigezo vya kuchezesha mchezo kama huu.
“Kama Barca wangepeoteza wangekua wametoka kabisa katika mbio za ubingwa. Baada ya kuwepo hapa kwa miaka mitano, najua jinsi mambo yanavyokuwaga.
Sijawahi ona Real Madrid wakipendelewa na ma-refarii. “Nina uhakika hata kama haya yametokea, tutanyakua ubingwa wa Ligi.” Maoni Yako - Unadhani anayoyasema Ronaldo ni sahihi ama ni kutafuta sababu baada ya kufungwa?

0 comments:

Chapisha Maoni