Jumatatu, Machi 17, 2014

HAWA NDIO WAFUNGAJI BORA KATIKA LIGI KUU UINGEREZA

Ligi kuu ya Uingereza ikiwa inaenda katika hatua za mwishoni wakati ikiwa imebaki michezo tisa mpaka nane kwa baadhi ya timu zikiwa na michezo mkononi.
Chelsea bado wapo kileleni wakiwa na pointi 66 huku Fulham ikiwa inashika mkia kwa kuwa na pointi 24

Orodha Mchezaji TimuMagoli
1 Luis Suarez Liverpool 25
2 Daniel Sturridge Liverpool 18
3 Sergio Agüero Manchester City 15
4 Eden Hazard Chelsea 13
4 Loïc Remy Newcastle United 13
4 Yaya Touré Manchester City 13
5 Olivier Giroud Arsenal 12
5 Jay Rodriguez Southampton 12
6 Wayne Rooney Manchester United 11
6 Robin van Persie Manchester United 11
7 Steven Gerrard Liverpool 10
7 Romelu Lukaku Everton 10
8 Christian Benteke Aston Villa 9
8 Wilfried Bony Swansea 9
8 Rickie Lambert Southampton 9

0 comments:

Chapisha Maoni