Ijumaa, Machi 07, 2014

HALI NI MBAYA KWA JACK WILSHERE

Jack Wilshere atakosa mchezo wa marudiano wa Arsenal dhidi ya Bayern kombe la UEFA baada ya baada ya kuumia mguu wa kushoto katika mchezo wa taifa lake Uingereza dhidi ya Dermark na atakua nje kwa takriban wiki 6.

0 comments:

Chapisha Maoni