Alhamisi, Machi 06, 2014

GHANA LEO YATIMIZA MIAKA 57 YA UHURU

Tarehe 6 Machi miaka 57 iliyopita, nchi ya Ghana ilifanikiwa kupata uhuru chini ya uongozi wa Dakta Kwame Nkurumah. 
Ghana ilitumbukia katika makucha ya mkoloni kuanzia karne ya 15 baada ya wakoloni wa Kireno kuingia nchini humo. Baada ya Wareno, Waingereza waliidhibiti na kuikoloni nchi hiyo iliyokuwa mashuhuri kwa jina la "Pwani ya Dhahabu" kutokana na utajiri wake mkubwa wa madini hayo.

0 comments:

Chapisha Maoni