Baada ya kupata majanga ya kufungiwa video yake ya Nimevurugwa baada ya kuonekana kukosa maadili kwa jamii...sasa mwanamuziki na mchezaji filamu nguli katika anga la Bongo movie Snura Mushi sasa ameachia ule wimbo uliokuwa ukisubiriwa sana 'Ushaharibu'.
Kuusikiliza na kudownload ingia katika link http://www.hulkshare.com/hugoline/snura-ushaharibu
0 comments:
Chapisha Maoni