Jumatatu, Machi 10, 2014

CPWAA NAYE AMEANZISHA LEBO YA MUZIKIO, BRAIN STORM MUSIC

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ilunga Khalifa ‘Cpwaa’, ameanzisha ‘lebo’ yake inayojulikana kwa jina la ‘Brain Storm Music’ ambayo tayari ameanza kusajili wasanii mbalimbali. Taarifa zaidi juu ya lebo hiyo itakujia

0 comments:

Chapisha Maoni