Jumatatu, Machi 10, 2014

MTOTO MPYA WA MICHAEL JACKSON AJITOKEZA.

Brandon Howard kijana mwenye Umri wa miaka 31 amejitokeza na kudai kuwa eti yeye ni mtoto halisi wa The Late Michael Jackson, na inasemekana kwamba alipima kipimo cha DNA na majibu yalipotoka yalionyesha kuwa kuna mahusiano ya damu kati ya kijana huyo na Michael Jackson.

0 comments:

Chapisha Maoni