Wachezaji
wa timu ya Azam FC wamewasili Salama bila matatizo yoyote jijini tanga
tayali kwa mchezo wa jumatano dhidi ya Jkt mgambo.
Kikosi cha Azam FC kimewasili tanga majira ya saa tano Asubuhi kwa basi lake likitokea Dar.

Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Azam FC kimeondoka leo Asubuhi Jijini Dar es Salaam kwa
basi lake kwenda Tanga kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu
ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji MgamboJKT utakaochezwa kesho Jumatano kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga.
Wachezaji ambao wataukosa mchezo huo ambao ni majeruhi na hawakuambatana na timu Tanga ni, SamihHaji Nuhu, Joseph Lubasha Kimwaga, Ibrahim Mwaipopo, Farid Mussa na Ismail Gambo.Picha zaidi za wachezaji baada ya kuwasili tanga angalia hapa, ambako mashabiki walijaa na kulizunguka basi hilo baada ya kuwaona wachezaji wa Azam fc wakishuka.

0 comments:
Chapisha Maoni