Ripoti kutoka magazeti ya Uingereza zinadai kwamba David Moyes ameutaka
uongozi wa United kumpatia wachezaji 7 msimu ujao wa usajili, wachezaji
hao 7 ni: Dejan Lovren, Mehdi Benatia, Luke Shaw, Toni Kroos, William Carvalho and Juventus duo Arturo Vidal na Paul Pogba.
0 comments:
Chapisha Maoni