Ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi
vyetu pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za
kutoka nje, kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake
Haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka
nje... Hii ni sawa na kuzidi kuukuza mziki wa nje huku tukiudidimiza na
kuua mziki wetu... Will the target of reaching our goals ever be
achieved??
0 comments:
Chapisha Maoni