Wakati Jack akiwa katika mazito hayo, habari ambazo zilifika kwenye
dawati la Uwazi dakika za mwisho zinasema mastaa wa filamu za Bongo,
Jacqueline Massawe Wolper, Aunt Ezekiel Grayson na Wema Isaac Sepetu
wamekuwa wakitolewa udenda na vigogo wa unga.
Vigogo hao wamekuwa wakihaha kutafuta namna ya kuwaingiza mastaa hao
kwenye ‘chaneli’ yao ili wawe mapunda wa kubeba kete za unga kupeleka
ughaibuni wakiamini kuwa, mastaa hawakamatwi hovyo uwanja wa ndege,
hususan wa Dar es Salaam.
0 comments:
Chapisha Maoni