Ijumaa, Januari 31, 2014

VIONGOZI WA CHADEMA WAWEKWA CHINI YA ULINZI

Chenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mbowe na wabunge wawili wa chama hicho Mh. Halima Mdee na Peter Msigwa wameshikiliwa na kuhojiwa kwa muda na Jeshi la polisi mkoani Iringa kwa madai ya kuzidisha muda katika mkutano wao wa jana.

0 comments:

Chapisha Maoni