Ijumaa, Januari 31, 2014

MTANGAZAJI WA EAST AFRICA RADIO AMEFARIKI DUNIA


Mbunifu Msaidizi na Mtangazaji wa Habari za Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia nyumbani kwake Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi ya Kenneth Lyanga inafanywa na familia yake. Fichuo Tz tunatoa pole kwa familia ya marehemu Kenneth.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Kenneth Kidago Lyanga Mahala Pema Peponi, Amina.

0 comments:

Chapisha Maoni