Wana virutubisho aina ya Omega 3 ambavyo huulinda moyo dhidi ya maradhi.
Samaki pia wana virutubisho vinavyomuongezea mlaji uwezo wa kukumbuka (memory),
kuna virutubisho vyenye uwezo wa kupambana na kansa mwilini, kuongeza kinga
mwilini na kuondoa mafuta mabaya mwilini (Bad cholesterol). (unashauriwa kula
samaki kwa wingi kadiri uwezavyo).
Baadhi ya virutubisho muhimu vinavyopatikana kwenye samaki ni pamoja na
vitamini D, vitamin 12, Vitamini B3, vitamini B6, Omega 3 Fatty Acids,
Protini na madini mengine mengi.
0 comments:
Chapisha Maoni