Jumatatu, Januari 06, 2014

MUDA WA KUMALIZIKA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI WASOGEZWA MBELE

Ujenzi wa daraja ukiendelea
Viongozi wakuu wa nchi za Afrika mashariki kuweka sahihi za makubaliano ya mikataba miwili mikubwa ya itifaki ya kuanzishwa kwa Sarafu moja ya Afrika mashariki na kuanzishwa kwa himaya ya forodha moja kutaimarisha jumuiya ya Afria mashariki.
Muonekano wa daraja baada ya ujenzi kumalizika
Muonekano wa daraja baada ya ujenzi kumalizika

Akizungumza na Mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa maraisi wa nchi hizo tano za Afrika mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Speke resort hotel Munyonyo jijini Kampala nchini Uganda, waziri mwenye dhamana Mhe. Samuel John Sitta amesema kuwa, maamuzi yaliyofikiwa katika mkutano huo ni ya msingi katika kuimarisha jumuia ya Afrika mashariki.
Aidha akizungumzia mkakati uliowekwa ili kuhakikisha maaamuzi yaliyofikiwa yanatekelezwa, Mhe Sitta amesema kuwa, viongozi hao watakuwa wanakutana kila baada ya miezi sita ili kuhakiki ni nchi gani haijatekeleza makubaliano na ni katika nyanja ipi, jambo ambalo litaleta umakini wa kutekeleza maamuzi yaliyofikiwa.

Awali akihutubia kikao hicho killichuhudhuriwa na Marais, Dk Jakaya Kikwete wa Tanzania Uhuru Kenyatta wa Kenya, Piere Nkulunzinza wa Burundi, Pulo Kagame na mwenyeji wao mwenyekiti wa jumuia hiyo Mhe. Yoweli Kaguta Mseveni wa Uganda amesema kuwa, hatua hiyo ni muhimu kwa jumuia ya Africa mashariki kwa lengo la kukuza uchumi katika nchi za Afrika mashariki.

0 comments:

Chapisha Maoni