![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVNuLBNpCyJV3Le-IeDZ9_ZANCJBZ89zGkP3H5teXP0wdld5feAXiKlak4GZx0QYlfkxlFDR9HQahqmG9-wLyjV3FLfbJYHWSP20Y9-UNk2FCXMSHxZ1ZppsaSdCuOutSv8zOgJeRVf6iB/s1600/Jack-maisha1-448x252.jpg)
Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu akiwa nchini
Thailand, Jack alisema uwepo wake nchini humo kwa muda mrefu
anajilengesha kwa mwanaume wa Kizungu ambaye atampenda na ikiwezekana
amzalie mtoto.
“Kwa kweli nitarudi Bongo endapo tu nitapata mtoto mmoja wa kitasha,
sasa niko bize kutafuta mchumba ambaye ni salama kwangu ili niweze
kupata naye mtoto mmoja tu,” alisema Jack.
Ni takriban mwezi wa sita
sasa msanii huyo yuko nchini humo huku anachokifanya kikiwa hakijulikani
licha ya kuwepo kwa madai kuwa, wasanii wengi wanaokwenda huko
wanajiuza.
0 comments:
Chapisha Maoni