Waandamanaji mbele ya jumba jipya la “Trump International Hotel and Tower” lililofunguliwa jijini Vancouver, Canada hapo jana (Jumanne).
Ufunguzi wa jumba hilo lenye orofa 69 ulikumbwa na hisia mseto huku maafisa wa usalama wakitoa ulinzi mkali kwa wanawe Rais Donald Trump waliokuwa ndani kuifungua rasmi.
Ujenzi wa jengo hilo unakisiwa kugharimu dola milioni 275 za Marekani.
0 comments:
Chapisha Maoni