Jumanne, Machi 07, 2017

KILICHOANDIKWA NA MAGAZETI YA LEO YA MWANANCHI, NIPASHE, HABARI LEO, TANZANIA DAIMA, MAJIRA NA MTANZANIA

TANZANIA DAIMA
  • Rc Makonda amweka kona mbaya JPM...Elimu yake, safari Afrika Kusini vyazidisha utata
  • Kikwete apata pigo, Chadema yapa pole
  • TLS wamgomea dkt. Mwakyembe
  • Tuambie wanao ukweli, huyu mtu anaitwa nani?
  • Mwigulu: Wasiotaka kufuata utaratibu wa Moravian watoke
  • Akamatwa akifanya ushirikina makaburini
  • Yanga yaionea Kiluvya Utd...Yajipigia 'nusu dazani', Chirwa ajipigia nne...Sasa kuvaana na Prisons robo fainali FA Cup
  • Mavugo: Zomea zomea imenisaidia
  • Beki Mbeya City afyatuka kidole


MAJIRA
  • Bodi wadhamini Cuf wamgomea Lipumba...yafungua kesi, mahakama kusikiliza maombi yao leo
  • Wajawazito wapinga faini 50,000...wavunja ukimya dhidi ya manyanyaso wanayofanyiwa kituo cha afya
  • Makonda mgeni rasmi maadhimisho siku ya wanawake Dar
  • Dkt. Shein asisitiza ushirikiano mkutano wa IORA Indonesia
  • Wizara ya ardhi yaboresha ofisi za kanda
  • Yanga huu uonevu...kuivaa Prisons, Simba wapewa madini
  • Kamati ya utendaji TFF kukutana
  • Arsenal yamminya Sanches


HABARI LEO
  • Mwakyembe amkalia kooni Tundu Lissu kooni TLS...Asisitiza kuifuta ikiruhusu wanasiasa kugombea
  • Bilioni 20 zatengwa kukarabati shule kongwe
  • Maghala matan ya Viroba yafungwa
  • Makonda mgeni rasmi siku ya wanawake Dar
  • Yanga si kwa hasira hizo!
  • Mlandizi, JKT vita kali ligi ya wanawake
  • Lampard ampa makavu Pogba
  • Jokate kufundisha ujasiliamali kwa wanafunzi


MWANANCHI
  • Wateule wa rais, wabunge wanavyotunishiana misuli
  • Jinsi simu inavyotenganisha jamii
  • Mwenyekiti Chadema Lindi atoka Gerezani
  • agufuli atia utambi mjadala wa rangi ya chakula nchini
  • KCMC yatoa maiti kwa familia isiyostahili
  • Wataka watendaji wasikalie habari
  • Kampuni ya saruji yaomba kuagiza nje makaa ya mawe
  • Polisi watatu mbaroni kwa tuhuma ya mauaji B'moyo
  • Wadhamini CUF wawafungulia kesi Sakaya na wenzake
  • Trump asaini amri kuzuia wahamiaji kuingia Marekani
  • Ukizubaa imekula kwako Ligi Kuu
  • Yanga kwa Prisons, Simba kwa madini


MTANZANIA
  • Waziri Nape: Ni ruksa kuikosoa serikali
  • Waziri Ummy awashukua ma-DC, RC  wanaowaweka ndani madaktari
  • Seleman Mathew wa Chadema atoka gerezani
  • Yanga yatinga robo fainali kwa kishindo
  • TWFA na mikakati ya kushiriki kobe la dunia 2019
  • Irene Uwoya: Mwanamke anastahili heshima
  • Jokate: Mafanikio ya mwanamke huletwa na yeye mwenyewe


NIPASHE
  • Ukata watikisa Bunge la Bajeti
  • Kina Mbowe kumzika mama Kikwete leo
  • Mpemba amuweka mtegoni DPP
  • Trafiki mbaroni rushwa 10,000
  • Kiwanda General Tyre mwiba kwa Mwijage
  • Serikali 'yampiga stop' Lissu kuongoza mawakili
  • Simba kuishushia nondo Madini FC
  • Chirwa,  Yanga waitisha Zanaco...Kiluvya yageuzwa chambo ya kuikamata taifa jumamosi, sasa waifuata Prisons FA...
  • Ibrahimovic Kuikosa Chelsea jumamosi

0 comments:

Chapisha Maoni